Album Cover Hello

Hello

Nyashinski

8

Paposera bu find you And I now see iiiih (hello)

Ata tukikosana isikie nafsi iiiih (hello)

Mi naomba usiwe (usiwe)Mkali sana Oh na na na na

Usiwe mkali sana ona na na na na (Hello)

Eh!, Eh!

From the first time I looked in your eyes I knew

(Eh! eh) Shinski!

Loving you feels like destiny

Zawadi yangu sauti yako

Even a rich man envies me

Utajiri wangu tabia zako

I wish I could give you the world

Thamani yako haipimiki

The world would not be enough

Oh na na na na na na

Roho yangu hairidhiki inakuita

Paposera bu find you

And now I see iiiih (Hello)

Ata tukikosana isikie nafsi iiih (Hello)

Mi naomba usiwe mkali sana

Ukiziwi wa roho

Mama usiwe Mkali sana

Itikia roho inakuita

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Na kitu nakuahidi

Hautawahi boeka ukiwa na mimi

Mahali nimekuweka ni mahili

Sijawahi weka mwingine

Roho inakuita itikia usikimye

Kitu nakuahidi

Hautawahi boeka ukiwa na mimi eh

Mahali nimekuweka ni mahalo

Sijawahi weka mwingine eh

Roho inakuita itikia usikimye yeah

I wish ungejua tu

Sio kuzingua tu

Unanifungia roho

Yangu nikikufungulia ndani

Najua unajiambia mi ni sumbua tu

Na kitu nakuahidi

Hautawahi boeka ukiwa na mimi

Mahali nimekuweka ni mahali

Sijawahi weka mwingine

Roho inakuita itikia usikimye

Paposera bu find you And now I see iiiih (hello)

Ata tukikosana isikie nafsi iiih (hello)

Mi naomba usiwe Mkali sana

Ukiziwi wa roho (hello)

Mama usiwe Mkali sana

Itikia roho inakuita

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Thank God for life (thank God for life)

Sunshine for light (Sunshine, sunshine for light...)

And you for making me feel

All right Oh na na na na (feel alright...)

Thank God for life (Thank God for life)

Sunshine for light (sunshine for light...)

And you for making me feel all right

(Making me feel... feel alright)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)

Hello we, hello we (yeah)

Hello we, hello, (hello, hello)