Album Cover Now You Know

Now You Know

Nyashinski

7

Huyo ni fala mgani anaweka ma mng′ari

Kwa list juu ya ferrari yeah

Ana degree au ni journalist tu juu ana list(whoop)Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi

Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na kanyari ye ye yeah

Na naskia inasemekana

Ati rap zangu hukam na mkazo na ile utamu ya reggae mama

Ma ordinary wanankubali na hata watiaji hawaezi kana

Kuna wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana

Mama mama

Kijana wako amepotea

Ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu zake wakiendelea

Mwenyezi pekee anaeza muokoa kimaisha amelegea

Ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina

Yeah sionangi haja ya ufisi

Sina njaa najua mpishi

Sijai fanya kazi ya ofisi

Sijai lala ka sijadishi

Sijarap kitu ka kutoka '06 ivi

Trust me siezi rust mimi

Ata niache mziki miaka hamsini

Nikirudi bado nawacrush nyinyi

Niko first mi ndani ya party

Na nguo rasmi imepigwa pasi

Hapo katikati napiga mic check

Juu niko party na niko night shift

Nilikuwa busy sikuwa najificha

Clearly you rappers missed your teacher

Vitu mnaandika zinachoma picha

Nikiwish singewacha kuwafundisha

Sauti naskia ni

Don′t waste your time wishing you're too proud my baby

Too proud to wish they had an easy way out

Let times get tough so they remember you're a blessing

When life is good they will forget to say

Naulizwa mbona niliacha mziki

Ati nilikuwa mkali juu ya mic na namissiwa na mashabiki

Niliacha game mapema hata kabla refa hajapiga firimbi

Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi

Samahani nimepotea

Shukrani kwa wale wamenifikiria

Hizo miaka zote nimekuwa missing lakini iko kitu hamjaniambia

Kaa ningebaki bado ungekuwa na taki ya kuskia nikiwaimbia

Ama by saa hii mngekuwa mnanifanya vile mnafanya ma pioneer

Story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika

Show ni ule jamaa aliimba ′Ada Ada′ ebu come ucurtain raisie mnaija

It's not that serious rap ni hobby

Bila mziki bado namanga

Ingekuwa career si ningekuwa nalia kuskia ati Naija Night Nairobi

Ambia new comer asijifeel sana we ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda

Ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio kuuenda

Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu

Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya kuchoka na mimi

So now you know

Shinski

So now you know

Beat ya Keggah

So now you know