Album Cover Mungu Pekee

Mungu Pekee

Nyashinski

8

Sijui kaa nitaona kesho

Kaa ningali na uwezo wa kuifanya

Nitaifanya hadi mwishoMwambieni huyo devil

Simwogopi shetani sir God yuko nami hadi kifo

Kaa nitaona kesho nipe nguvu na uwezo wa kijana

Na akili za mzee

Daima niwe, imara wasiniangushe(Cedo)

Naona saa kila siku ni zawadi toka Maulana

So haja gani ushike tama maa

Majaribu huisha oh ya eeeh

Na ata kaa maadui zangu watashikana

Na zao njama siwaogopi

Nasimama mama, ya kiama yao yaja eeh

Hiyo ndio pace nasonga nayo

Wanashangaa hakuna stress, nakuanga nayo

Naishi sawa sina kesi mahakamani au deni za majirani

Niko fresh nje na ndani oh yah eeh

Namwogopa Mungu pekee

Mwanadamu akija kunitafash, naomba Mungu nitetee

Maneno yao yasiniumize nifanye sugu wewe

Wakitry kunitisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me eeh

So I don′t fear nobody but you

I know you love me, know you love me eeh (nisitetemeke)

I know you love me, know you love me eeh

So I don't fear nobody but you

I know you love me, know you love me eeh (nisitetemeke)

Uhh siamini jo juu vile naishi life ni ngumu kuamini hii si ndoto

Sijui vile kesho itakaa kwa hivyo

Leo nitaifanya kaa kidogo huwa hairidhishi roho

Yaani sana, tena sana

Ata wale wananichukia wananiheshimu, bruh mi si kidogo

Uhh sibabaiki nikisikia mkiongea nazidi kuwapa mi kisogo

Na kama saa sisimami, sitaki life iniache majani mataani

Mwenyezi nichungie familia yangu na

Pia za wale wote sauti yangu wanaisikia

Tupe afya nzuri na maisha matamu

Barabara zetu zinyooke waone mfalme ni wewe

Wa kupewa shangwe ni wewe

Wa kupewa shangwe ni wewe

Namwogopa, Mungu pekee

Mwanadamu akija kunitafash, naomba Mungu n′tetee

Maneno yao yasiniumize nifanye sugu wewe

Wakitry kunitisha naomba nisitetemeke

I know you love me, know you love me eeh

So I don't fear nobody but you

I know you love me, know you love me eeh (nisitetemeke)

I know you love me, know you love me eeh

So I don't fear nobody but you

I know you love me, know you love me eeh (nisitetemeke)

I pray we, me and my people we never die

Say we live forever and forever we multiply

And wherever we go, ni nini wanaweza nishow

Hata ka sina kitu, uko na mimi kila siku

Kila siku wewe pekee