Album Cover Chaguo La Moyo

Chaguo La Moyo

Otile Brown

8

Hey hey

Oh, baby

Teddy BNo-ooh

Tam-tarara, tam-tam, yay

Oh, baby

Tam-tarara, tam-tam

Mi′ nakuchagua wewe, wewe uwe wangu (Aah)

Mume wangu, baba ya watoto wangu (Aah)

Kupendwa nawe majaliwa, kukuoa ni baraka, eeh (Aah)

Mshikaji wangu wa maisha

Oh, baby, I love you (Aah)

And for you

Ninabadili mienendo yangu, baba

Baby, for you

Ninaukimbia ujana mama, eeh (Yay, yay)

Nijenge boma nawe (Nawe)

Nizae watoto nawe (Nawe)

Niwalee pamoja nawe (Nawe)

Nizeeke pamoja nawe (Nawe)

Nataka nijenge boma nawe (Nawe)

Nizae watoto nawe (Nawe)

Niwalee pamoja nawe (Nawe)

Nizeeke pamoja nawe (Nawe)

Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam

Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah)

Na kwenye madhabahu unavong'aa

Unavopendeza kwenye ′lo rinda

Oh, baby, I knew you're the one for me

Oh, baby, you're the one for me

I can tell the way you smile, the way you laugh

The way you talk, the way you walk

Baby, you′re the one for me

I swear you′re the one for me

And for you

Ninabadili mienendo yangu, mama

Baby, for you

Ninaukimbia ujana wangu (Yeah, yeah)

Nijenge boma nawe (Nawe)

Nizae watoto nawe (Nawe)

Niwalee pamoja nawe (Nawe)

Nizeeke pamoja nawe (Nawe)

Nataka nijenge boma nawe (Nawe)

Nizae watoto nawe (Nawe)

Niwalee pamoja nawe (Nawe)

Nizeeke pamoja nawe (Nawe)

Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah)

Chaguo la moyo tam-tarara, tam-tam (Yeah)

Otile Brown

Na Sanaipei