Lyrics
Oh my God it′s my birthday (it's my birth day)Oh my God it′s my birthday hey (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Oh my God it's my birthday (it's my birth day)
Oh my God it′s my birthday hey (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Siku nyingine ya furaha
Am so happy, happy, happy (happy, happy, happy)
Mwaka mwingine nime vuka
Am so happy, happy, happy (happy, happy, happy)
Asante mama, asante sana kwa kunizaa
Upendo wako moyoni mwangu hutochuja
Siku kama leo ulimwaga chozi la furaha
Mtoto wako damu yako nimekuja
Niko na marafiki (ah éh)
Kuna zawadi (ah éh)
Twa cheza mziki (ah éh)
Wana mwaga maji
Basi post picha yangu (ah éh)
Niletee na keki yangu (ah éh)
Tufurahi ndugu zangu (ah éh)
Maana leo ni siku yangu
Oh my God it′s my birthday (it's my birth day)
Oh my God it′s my birthday hey (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Oh my God it's my birthday (it′s my birth day)
Oh my God it's my birthday hey (happy, happy)
Happy birthday to me (happy, happy)
Happy birthday to me
Kata keki (kata, kata)
Tule (kata kata)
Leo siku ya furaha (kata, kata)
Tule (kata, kata)
Muite chap, chap Mutua (kata, kata)
Kama anakupa chukua (kata, kata)
Kata (kata, kata)
Kata (kata, kata)
Éh, kwani baba mnataka nini? (tupe pombe)
Éh (tupe pombe)
Nini? (tupe pombe tulewe)
Vipi hamtaki juice? (tupe pombe)
Maji vipi? (tupe pombe)
Hata soda? (tupe pombe tulewe) ah sawa, sawa
Kina dada mnataka nini na nyie? (tupe nyama)
Éh, (tupe nyama)
Ugali? (tupe nyama tushibe)
Aya wa toto (tupe soda, tupe soda, tupe soda tukunye)
Eyoo Trone
Music Video
About
Artist Rayvanny
Added 3 months ago
More from Rayvanny
Popular Now
Tung tung tung sahur (English Translation)
Genius English Translations • 5,867 views
Sherine - Batmana Ansak (English Translation)
Genius English Translations • 1,815 views
Pikiran yang Matang
Perunggu • 1,353 views
AKUGETSU - Mi Vida Loca (VIVINOS - ALNST Sub : Till Part.1)
Genius English Translations • 1,165 views
Saja Boys - Soda Pop (Romanized)
Genius Romanizations • 1,111 views