Album Cover Still The One

Still The One

Sauti Sol

7

Another one for the ladies, sauti sol

Yeah, yeah baby, touch me baby

Tulipokuwa primo

Ulisema umeninoki

Nikakuseti kwa odijo

Tukaingia seco

Adole zikanipanda

Nikaku kiss kwenye bus stop, yeah

Tukaingia campo

Nikasema nakupenda

Ukasema unasoma

Na bado na kuona daily

Looking fly nakufeel even more ooh

I wonder what I′m gonna do

If you ever walk out the door...

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Ukiwa mbali nakonda sana

Nikikuona nina pagawa

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Love is a strong thing, strong thing, strong thing

My love is a strong thing, strong thing, strong thing

Tukamaliza campo

Nikaanza kuimba

Ukapata ka jobo (downtown)

Tukapatana tao

You were looking very sexy

Tukawasha ka vodo

Ukawa tipsy kidogo

Ukasema unanipenda

Na huwezi kuniacha

Tangu zamani ulinipenda

Ila hukuweza sema

Ukasema unanipenda

Na huwezi kuniacha

Tangu zamani ulinipenda

Ila hukuweza sema

Na bado nakauona daily

Looking fly nakufeel even more

I wonder what I'm gonna do

If you ever walk out the door

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Ukiwa mbali nakonda sana

Nikikuona nina pagawa

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Love is a strong thing, strong thing, strong thing

My love is a strong thing, strong thing, strong thing

Nikaimba lazizi (lazizi wangu we)

Nikaimbia polisi

Na nikaimba soma soma soma, (oh yeah)

Na nikasema popote ulipo, mi nakuwaza mama

I′m a I'm a I'm a gentleman

I′m a I′m a I'm a gentleman

Na bado nakuona daily

Looking fly na ku feel even more

I wonder what I′m gonna do

If you ever walk out the door

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Ukiwa mbali nakonda sana

Nikikuona nina pagawa

Bado we ni yule yule

Bado nakufeel baby vile vile

Na sasa uko fifty, bado unaka fiti

Yeah you can gerrit