Album Cover Amenisamehe

Amenisamehe

Emachichi

6

Amenisamehe (amenisamehe) ×2

Katika jina lake Yesu, amenisamehe ×2

Amenibariki, amenibariki

Amenibariki jamani, amenibariki

Katika jina lake Yesu, amenibariki ×2

Ameniokoa, ameniokoa ×2

Katika jina lake Yesu, ameniokoa ×2

Amenifariji, amenifariji

Amenifariji jamani, amenifariji

Katika jina lake Yesu, amenifariji ×2

Anipa amani, anipa amani ×2

Katika jina lake Yesu, anipa amani ×2

Anipa furaha, anipa furaha

Anipa furaha jamani, anipa furaha

Katika jina lake Yesu, anipa furaha ×2

Anipa upendo, anipa upendo

Anipa upendo jamani, anipa upendo

Katika jina lake Yesu, anipa upendo ×2

Amenisamehe, amenisamehe

Amenisamehe jamani, amenisamehe

Katika jina lake Yesu, amenisamehe ×2

Instrument

Nzambe nabiso aza malamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bolamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bokasi iyeéye

Nzambe nabiso aza malamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bokasi iyeéye

Sanzola ye, yembela yeéye

Sanzola ye, tikisa yeé

Sanzola ye, Nzambe nabiso aza bokasi iyeeye

Instrument

Nimkimbiliye nani eee

Nimkimbiliye yesu mwokozi wangu Repeat

Wakati wa machozi wakati wa shida

Nta mkimbiliya mwokozi wangu

Nimkimbiliye nani eee

Nimkimbiliye yesu mwokozi wangu

Wakati marafiki wata nitoroka

Nta mkimbiliya yesu mwokozi wangu

Uchumi wa dunia uki zoroka

Nta mkimbiliya yesu mwokozi wangu

Wakati wa shida, wakati wa machozi

Yesu ndiye kimbiliyo

Instrument

Nzambe nabiso aza malamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bolamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bokasi iyeéye

Nzambe nabiso aza malamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bokasi iyeéye

Sanzola ye, yembela yeéye

Instrument

Ni njiya ya uzima eeh eeh

Ni njiya ya uzima ya kwenda kwa baba ×2

Mushara wa zhambi ni mauti yesu ndiye njiya yakwenda kwa baba

Nzambe nabiso aza malamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bolamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bokasi iyeéye

Nzambe nabiso aza malamu iyeeye

Nzambe nabiso aza bokasi iyeéye

Sanzola ye, yembela yeéye

Instrument

Yesu ana ponya(yesu ana ponya)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele

Yesu afariji (Yesu afariji)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele

Yesu a okoa(Yesu a okoa)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele

Yesu ana ponya(yesu ana ponya)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele

Yesu a bariki(Yesu a bariki)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele×2

Instrument

Yesu atu penda(Yesu atu penda)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele×2

Yesu ana tunza(Yesu ana tunza)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele×2

Yeye ana ponya (Yeye ana ponya)×2

Yesu ana ponya (Yesu ana ponya)×2

Yesu ni yule yule jana leo na milele×2

Instrument

Instrument...

Lagu lain oleh Emachichi